03.04.2021Tanzania, Dar Es Salaam

Incubator ya mayai 560

TZS 1 650 000

Condition:

NEW

Description

Incubator yenye mfumo wa kisasa kabisa ya mayai 560.(Hardbody) ?Totolesha mayai ya kuku, bata, bata mzinga, njiwa na kanga. ?Inatumia umeme au sola/betri ya 12v ? Inatunza joto mpaka masaa 7 baada ya umeme kukatika. ✅ Ina ufanisi mkubwa wa zaidi ya 98% ✅ Ni full automatic na inageuza mayai yenyewe. ✅ Ina humidifier ya kuongeza unyevu hivyo kuweza vifaranga wengi kuanguliwa. ?Utapata ofa ya drinker na feeder seti moja bure. ? Ina mfumo rafiki sana kutumia. ? Utapata vifaa vya ziada kama Egg tester, inverter ya watts 1200, sprayer, na system ya kuongeza maji automatic.

Ethan Ngowi

Member since 2015.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam