Description
Nyumba inavyumba vi4 vya kulala kimoja master bedroom Ina setting room dining room kitchen store public toilet, nyumba Ina boma halijaezekwa lina chumba kimoja na sebule, pia nyumba flem 9 za biashara zinaangalia soko la Mbande, njoo ukague tufanye biashara garama za kupelekwa saiti kuona ni elfu 20,000/=