17.04.2022Tanzania, Dar Es Salaam

INAUZWA IPO KIGAMBONI KIBADA CHEKECHEA

TZS 80 000 000

Description

NYUMBA INAUZWA Ipo kigamboni kibada chekechea NSSF Ukubwa 500 SQM Ina vyumba 3 kimoja master Sebule Public Dinning room Jiko Choo cha nje na store Ina fensi yenye Ukubwa wa kupaki gari sita, Fixed price 80M

DALALI T.

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam