01.04.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Inauzwa, 1,300 Sqm Plot, Mbezi Mwisho - DaresSalaam

TZS 45 000 000

Details

Price per square unit
no

Description

kiwanja kipo Mbezi Malamba Mawili. Kituo Malamba Makuti. Kilomita 3 kutoka Mbezi Luis Center stendi ya mabasi ya mkoa na Mita 500 kutoka barabara ya Mbezi Mwisho kuelekea Kinyerezi. Kiwanja kimepimwa, bado hati. Kiwanja kina ukubwa wa sqm 1,300 Bei milioni 45 Kipo barabara kubwa ya mtaa Kimezungushiwa ukuta . • Visit our listing to find more and different properties. • If you can't get enough of our properties, send a request of your choice through our contacts

Wa M. B.

Member since 2014.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam