Description
Boss gholofa lina uzwa lipo mbweni malindi ubungo hapa njia ya kwenda kituo cha police ?♀️ gholofa lina room tano zote self sitting room dining room jiko store na public toilet na sitting room ya juu na chumba cha styudroom office lina uzwa milion 400 kiwanja kina Sqmt 2040 boss