01.11.2021Tanzania, Dar Es Salaam

HOUSE FOR SALE IN UPANGA.

TZS 250 000 000

Description

NYUMBA INAUZWA UPANGA. Ukisikia ninaishi DOWNTOWN ndio kama hii sasa. Nyumba ipo Upanga nyuma ya Mahakama ya Kisutu. Unatembea kwa miguu kwenda Posta. Ukifanikiwa kununua nyumba hii basi utajiona wewe ni miongoni mwa waliofanikiwa. Nyumba imeumana na ardhi...unapata sehemu yako private ya kupaki magari mawili. Mnatenganishwa kwa ukuta na jirani zako wa kulia na kushoto. Mbele hakuna kizuizi ukitoka barabarani unaingia kwako. Ukiingia ndani una kutana na sebule, mahala pa kula na jiko. ukipita jikoni kwenda uani unakutana nyumba ndogo chumba na sebule. Ukirudi ndani kuna ngazi unapanda juu ambapo unakutana na vyumba vingine viwili vya kulala jumla vyumba3 na Bei 250mil ukipenda tupigie simu barikiwa sana.

Chriss Real Estate Agency

Member since 2015.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam