26.05.2022Tanzania, Mwanza

House for Rent( Nyumba ya kupanga)

TZS 8 400 000

Details

Terms
yearly-in-advance

Description

NYUMBA KUBWA Unaweza kutumia kwa familia au kama Office. *Nyumba ina Vyumba Sita (6). *Chumba master kimoja. *vyoo vya ndani vya kishare ni vitatu. *Sebule kubwa sana na Dining room kubwa. *Jiko kubwa sana na store kubwa sana. *Ina geti na eneo kubwa la parking. *Maji na umeme vipo. *Nyumba ndogo ya nje yenye vyumba viwili na choo chake ambapo wanaweza kukaa watoto wa kiume au wafanyakazi. IPO MWANZA WILAYA YA ILEMELA KATA YA BUSWELU MTAA WA KIGALA KARIBU NA NATIONAL HOUSE. *NYUMBA HAINA DALALI NI MWENYE NYUMBA MWENYEWE NDO ANAPANGISHA.

Pascal S. L.

Member since 2019.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Mwanza