Details
Description
#Stand Alone House for rent at Mwenge Mpakani 800k x6 #Vyumba 6 vya kulala (Chumba 1 master), sebuke kubwa sana, jiko kubwa sana, dinning room, choo cha public cha ndani na kingine kwa nje, parking, fenced, mtaa tulivu sana #ipo MWENGE MPAKANI #Kodi 800,000/= x6 #malipo ya dalali 800,000/= #service charge 20,000