30.03.2022Tanzania, Dar Es Salaam

HOUSE FOR RENT AT BUNJU SHULE

TZS 500 000

Details

Terms
6-months-in-advance

Description

Nyumba ya vyumba vinne vya kulala kimoja ni master, Kuna sebule kubwa, Jiko zuri lenye makabati, dinning na public toilet, Nyumba ni ya kujitegemea, Kuna fences, block paving, mazingira mazuri mno, tiles, gypsum, umeme na maji unajitegemea, Kuna parking space kubwa ya magari, Bei ni laki tano kwa mwezi...

Jimmy mollel

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam