Description
? ?Mbezi Luguruni hotel inatazama Morogoro road inauzwa bei 950ml ______________ Hotel ipo jiran na St. Joseph university,ofsn za mkuu wa wilaya Ubungo,ofis za manispaa ya Ubungo Ina 37rooms zote ni self contained Kila room ina AC ,TV & Balcony Kiwanja kina hati 630sqm _____________ Simu