Details
Description
HOTEL FOR SALE MADALE MIVUMONI *Hoteli inauzwa ipo Madale Mvumoni* -Ina vyumba 14 na ukumbi wa mikutano -Hoteli ina Jiko, stoo, standby generator, na kighorofa kidogo ni kwa ajili ya wafanyakazi kulala. -Plot size Sqm 1500 -Bei milioni 450.