Details
Description
Guest House inauzwa mill 210 Iko Bagamoyo mjini Ina vyumba nane vyote master Ila pia Ina servant quarter Kiwanja Cha mjengo kina square meter 900 Hati ya umiliki wa nyumba na ardhi vyote vipo safi Guest house imekamilika kwa 90% (90 percent), Kuna maeneo madogo madogo yanahitaji finishing Kwa maelezo Zaidi piga simu hizi chini