image

20.03.2022Tanzania, Dar Es Salaam

FUNDI MAGARI

Negotiable

Description

Mimi ni fundi wa gari ndogo nakukaribisha kwa usalama wa gari yako engine oil & gear box oil servicer, matatizo ya gari kugonga na matatizo mengine ya gari yako usisite kunipigia popote ulipo nakufikia. Pia nakupa ushauri kuhusu ni jinsi gani unatakiwa ulitunze gari lako. Kwa uaminifu mkubwa na gari lako litakua sawa usisite kunitafuta

Enock

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam