Condition:
NEW
Description
Boss fridge Bs 70 Ni fridge nzuri sana na ni imara sana pia ina warranty miaka 2 inatumia umeme mdogo sana kwa siku moja na inasave energy Usafiri ni bure mpaka mlangoni kwako ndiyo ulipie mzigo wako ukifika kwa wakazi wa dar es salaam Pia mkoani tunatuma kwa uaminifu zaidi Ujazo wake ni Lita 105