image

30.03.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Fremu za madirisha ya Aluminium kuslide

TZS 1 800 000

Description

Profile/chuma za aluminium range nyeupe za madirisha ya kuslide - frame pamoja na shutter zake zinauzwa. Zinatosha kutengeneza madirisha 5 hadi 8 kutegemea na ukubwa wa madirisha. Zinauzwa zipo banda la ngozi