Description
U. T. I Nimaambukizi yanayotokea katika njia ya haja kubwa Kwenda Kwenye mfumo wa uke hupelekea U. T. I ZIJUE DALILI ZA UTI .Kukojoa mara kwa mara .kukojoa mkojo wenye harufu kali .Maumivu ya kiuno .Uchovu .Maumivu ya kichwa .Kukojoa mkojo wa njano