Condition:
NEW
Description
Tunafanya installation ya MacOS catalina kwenye desktop na laptop za kawaida kama dell, hp, toshiba, lenovo etc. Pia tunafanya dual boot, Windows 11 au 10 pamoja na MacOS alongside hivyo utaweza kutumia MacOS au ukatumia windows kwenye computer moja