image

28.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Dinning

TZS 470 000

Description

Dinning table viti vinne set nzima Ni dinning ya kisasa kioo ni nzuri sana na ni imara sana Tunafanya delivery ? in dar es salaam bure Pia unaweza kuagiza ukiwa nyumbani ukaletewa bure kabisa ndiyo ulipie kwa wakazi wa dar es salaam Mkoani tunatuma kwa uaminifu zaidi au kama una ndugu jamaa rafiki yako aliyeko dar es salaam anaweza kufika dukani kwetu kwa uaminifu zaidi

Samwely Ayoo

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location