Condition:
NEW
Description
*DIGITAL ELECTRONICS KITCHEN SCALE* Tunauza mizani za kisasa kwa ajili ya kupimia vitu mbalimbali vya kupikia majumbani kama unga,mchele,maharage,sukari,samaki n.k. Pika kwa mahesabu na kwa uwiano mzuri wa chakula kulingana na mahitaji. Mizani zetu ni simple kutumia na zinapima kuanzia gramu Moja,(1g) mpaka Kilo kumi(10kg). Kwa bei nafuu mno. Tupigie tukuletee popote ulipo