11.02.2022Tanzania, Arusha

DALILI ZA PID KWA WANAWAKE

TZS 37 500

Description

PIID NI NINI DALILI MADHATA NA TIBA YA UGONJWA HUO PID(Pelvic Inflammatory Disease) Ni maambukizi katika via vya uzazi) Maambukizi haya yanaweza kuletwa na vyanzo mbali mbali kama vile •Magonjwa : kisonono ,Kaswendwe' Uti au fangasi rudizi •Utoaji Mimba •Matumizi ya madawa kiholela • Vizuizi mimba •Kua na wapenzi wengi •Mtindo wa maisha(Ulaji mbovu na kutokuzingatia usafi) na nk Hizi ni BAaadhi Ya DALILI ZA PID ni ugonjwa hatari sana kwa wanawake na madhara yake ni makubwa 1.Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa 2️.Kuwashwa sehemu za siri 3️.Uke kutoa harufu mbaya 4️.Maumivu ya tumbo chini ya kitovu 5️.Uke kuwa wa ulaini sana 6️.Maumivu wakati wa tendo la ndoa 7️.Kuvurugika Kwa hedhi 8️.Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi 9️.Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa ?Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula . MADHARA YA PID •Ugumba •Kansa ya shingo ya kizazi •Mirija ya uzazi kuziba •Majeraha kwenye mirija ya uzazi TIBA YA PID #PID inatibika na kupona Kwa haraka Kwa ushauri au tiba ya tatizo hili waweza kuwasiliana nasi ni bure kabisa

Femicare

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Arusha