Details
Description
CHUMBA KIKUBWA NA SEBULE KUBWA NA JIKO KUBWA LA KISASA NA STORE INAPANGISHWA, KWENYE ENEO MOJA ZIPO APARTMENT 3 NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA NA KILA APARTMENT INAJITEGEMEA KWA KILA KITU ZIPO KIMARA BUCHA UPANDE WA KUSHOTO KM UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 4 TUU KWA MIGUU NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI ?MTEJA WANGU ANAHAMA TAREHE 15/02/2022 KUONA NA KULIPIA NI RUKSA