02.01.2022Tanzania, Dar Es Salaam

CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA MNO JIKO

TZS 250

Details

Terms
6-months-in-advance

Description

Chumba master kikubwa na sebule kubwa na jiko na choo cha public,maji dawasa yanatoka ndani masaa 24, kwenye fensi moja zipo apartment 3 na kila apartment inajitegemea kwa kila kitu na hii moja ndio itakua wazi kuanzia tarehe 10/01/2022 kuona na kulipia ni ruksa, zipo kimara Baruti upande wa kulia km unaenda Mbezi njia iliyowekwa lami ya kuelekea Chuo kikuu kutoka Morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 8 kwa miguu Bei ni 250k x 6 njia ni rafiki kwa aina zote za magari (mkeka hadi kwenye nyumba)

DAMALO H. F. R.

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam