image

21.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam

CCTV CAMERA AND KIT INSTALLATION

TZS 980 000

Description

CCTV CAMERA KIT AND INSTALLATION Cctv camera ambazo connection yake ni wired zipo za aina mbili coloured camera na colorvu camera. 1. Coloured camera Izi zinatoa picha yenye rangi kwenye mwanga (mchana na usiku ikiwa karibu na mwanga wa taa) , kwenye giza inatoa picha black and white lakini resolution ni nzuri clear kama inavyokuwa kwenye mwanga utofauti ni rangi tu 2. Colorvu Camera Izi zinatoa picha yenye rangi wakati wote masaa 24 (kwenye giza na mwanga ?CCTV camera 4 channel kit & Installation 4 Channel DVR 4 Camera 1080p 4x 20M Cables 1x USB Mouse 2x Power Supplies 1 x 4 way splitter Hard drive 1000 GB Router (for mobile view) INSTALLATION BEI: 1. Coloured complete set ya Camera 4 ni 980,000/= 2. Colorvu complete set ya Camera 4 ni 1,280,000/= 3. Coloured complete set ya Camera 8 ni 1,400,000/= 4. Colorvu complete set ya Camera 8 ni 1,850,000/=

Sabas K.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location