Details
Description
✔️Eneo ni tambalale ✔️Limepimwa ✔️Meter 800 kutoka barabara kuu ✔️Huduma za kijamii zote zipo ✔️Eneo linafikika kirahisi kabisa ✔️ Barabara zimechongwa ✔️Sqm1 ni 7500 tu(Kwa installment) ✔️Sqm1 ni 6000kwa cashi ✔️Malipo ni miezi20 ✔️Anza na laki na nusu ?Cash n million 2 ?Hati n lazima baada ya malipo