10.12.2021Tanzania, Dar Es Salaam
Description
Boma lipo Bunju B, karibu na TBA jijini Dar es salaam Boma lina vyumba vi tatu, sitting room, dining room na jiko Bei yake ni shilingi milioni 17 Njoo tuzungumze Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu
Chat with Sele B.
Call Sele B.