Description
BAWASIRI NI NINI, MIWASHO SEHEMU YA HAJA KUBWA, KINYESI CHENYE DAMU, CHOO CHENYE DAMU, MIWASHO SEHEMU YA HAYA KUBWA, MATIBABU YA UGONJWA WA BAWASIRI* ⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵ Kuna matibabu aina mbili katika kutibu ugonjwa wa Bawasiri: 1.? *MATIBABU YA KISASA* -Matibabu ya kisasa yanahusisha matibabu ya Hospital ambapo tiba kubwa ya Bawasiri kwa hospital ni kufanyiwa upasuaji mdogo ( minor surgery) kwaajili ya kuondoa kinyama. Changamoto kubwa ya matibabu haya ni kwamba asilimia kubwa ya wagonjwa wanaofanya upasuaji wa tatzo hili tatizo hujirudia. Kwasababu upasuaji huondoa athari ya tatzo na si mzizi wa tatizo. Yaani ni sawa na kukata mti kisha ukaacha mizizi bila shaka mti huo utachipua na kumea tena. Lakini pia Upasuaji wa Bawasiri huwa na maumivu makali sana na uponaji wa kidonda hufika mpaka miezi miwili, Hali hii ya kukaa na kidonda kwa muda mrefu kunaweza kupelekea kupata Kansa ya utumbo ( *Colorectal Cancer* ). 2.? *MATIBABU KWA NJIA ASILI* -Matibabu haya yanahusisha utumiaji wa dawa zinazotokana na mimea dawa. Dawa hizi Hutibu Bawasiri bila kufanya upasuaji na huweza kuleta matokeo ya haraka kwa mgonjwa endapo atatumia dawa huku akijitahid kujiepusha na visababishi vyote vinavyopelekea mtu kupata Bawasiri. Zipo dawa asili nyingi na nzur sana katika kutibu Bawasiri, mfano wa dawa hizo ni Bawasiri Fluid na Bawasiri powder, Dawa hizi zina ufanisi mkubwa katika kutibu Bawasiri endapo Mgonjwa atazingatia maelekezo. Tupigie kwa namba hii ili kupata suluhisho lake la huwakika kwa mda mfupi sana