image

19.11.2021Tanzania, Pwani

AUDIO PROCESSOR FOR FM RADIO

TZS 12 000 000

Description

Je, unaanzisha redio? Au redio iko hewani lakini haina sauti mchicha?Na wakati huo huo unataka kuingia katika ushindani bila gharama kubwa? DSPExtra ndo processor itakayokupa mdundo wa sauti wa kukita ngoma kwa bei nafuu. Wengi wameagiza Optimod, Orban kwa bei kubwa wakati DSPExtra itafanya kazi ile ile kwa bei nafuu. Wataalamu wa kuseti wapo. Piga simu upewe sifa zake na punguo la bei.

Dennis M.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location