28.03.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Appartiment for rent at Goba njia nne

TZS 450 000

Details

Terms
6-months-in-advance

Description

Appartiment ya vyumba viwili vya kulala kimoja ni master inapangishwa Goba njia nne, Bei ni laki nne na hamisi, Luku yake ya umeme, nyumba ipondani ya fences, tiles, Gypsum, Car parking space, maji yanatoka masaa ishirini na nne.

Jimmy mollel

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam