Description
Ipo katika Barabara ya Ally Hassani Mwinyi. Ni ya chini ambapo utakua na haki ya kufaidi uwanja uliopo nyuma na pembeni. Imegawanyika katika sehemu tatu na kila sehemu ina choo na bafu lake. Kibishara unaweza kupangisha familia tatu za mabachela na kila mmoja ukamtoza kodi ya 500,000 kwa mwezi. Pia unaweza kuongeza vyumba vingine ikakuletea kodi nyingine. Apartment in hati miliki. Bei 150mili. Kuinunua piga simu .