Details
Description
Apartment Inapangishwa Kimara Temboni. 150000×6 Ipo upande wa kushoto Kama unaenda Mbezi KM 1.5 Apartment Ina chumba Master Bedroom,Sebule na jiko ( open kitchen) na choo Cha public pembeni. INAJITEGEMEA kwa kila kitu Maji YANAFLOW ndani . Zipo mbili tu kwenye compound Iliyopo wazi ni Underground, parking ya gari ipo fence ipo Bei: 150,000×6 Kupelekwa kuona Nyumba elfu 15 itadumu mpaka Upate bila kuchajiwa Tena