Description
Ni sabuni iliyotengenezwa na vitu 3) 1.asali ya nyuki 2.mchaichai 3.zabibu FAIDA ZA ANATIC SOAP 1.Huondoa chunusi 2.Huondoa fangasi ya ngozi 3.Huondoa miwasho ya ngozi 4.Huifanya ngozi kuwa nyororo 5.Huleta unyevu nyevu 6.Huongeza kinga ya ngozi 7.Huondoa makunyanzi