18.05.2022Tanzania, Tanga

AFISA MASOKO

Negotiable

Details

Salary Range (Tsh)
Contact Method
email
Business/Employer name
REBUC GROUP
Application deadline
2022-05-25
Job level
entry-level

Description

NAFASI : AFISA MAUZO NA MASOKO MAJUKUMU 1. Kutangaza na kutafuta wateja wa kununua viwanja vilivyopimwa kwenye miradi iliyopo katika miji ya Tanga, Dar es Salaam, Morogoro na sehemu nyingine kadiri itakavyopangwa na utawala. 2. Kuwaongoza wateja katika zoezi la kutembelea miradi ya viwanja pamoja na kuwaonyesha viwanja vilivyopo sokoni. 3. Kumwelezea mteja mambo mbalimbali na masharti yaliyo katika mikataba ya mauziano ya viwanja 4. Kuishauri kampuni namna bora ya kufanya matangazo ili kukuza kipato cha kampuni. 5. Kufanya utafiti juu ya maeneo mapya ya masoko 6. Kujenga taswira nzuri ya kampuni kwa wateja VIGEZO 1. Awe raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi 2. Awe mwaminifu, mchangamfu na mwenye ushawishi kwa wateja 3. Awe na angalau elimu ya Kidato cha Nne au zaidi 4. Awe na simu ya kisasa (smartphone) 5. Awe na uelewa walau kidogo wa matumizi ya Computer na simu za kisasa 6. Ajue kusoma, kuandika na kuhesabu vizuri Kiswahili, kufahamu Kiingereza kunampa nafasi ya juu mwombaji

Honorati W.

Member since 2015.
xxx xxx xxx xxx

User

Location