Details
Description
HOUSE FOR RENT NYUMBA KUBWA INAYOJITEGEMEA KWENYE FENSI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA Ina vyumba 3 vikubwa sana vya kulala kimojawapo ni master bedroom kubwa na vyumba vyote vina makabati ndani, sebule kubwa,dining, jiko kubwa la kisasa na choo cha familia, paving, garden, parking shed ya 2 cars, security fence, parking nyingine ya wazi ya mbele ya nyumba. Nyumba ipo Boko chama few meters from Bagamoyo road. Bei ni 700k x 6 (laki saba kwa mwezi) nyumba ipo mtaa mzuri sana