Details
Description
nyumba nzuli sana yakisasa apartment yagorofa inapangishwa kwachini inasebule nachumba kimoja master najiko pamoja nasto juu inachumba kimoja master sehem yakusomea nasehem ya ofisi na balukon yakupungia upepo nyumba yote furu kipupwe umeme namaji vyote unajitegemea bei laki 5 kodi kuanzia miezi 4 au miezi 6