04.07.2019Tanzania, Dar Es Salaam

12 Acres Plot at Vikindu-Dar es Salaam.

TZS 180 000 000

Details

Price per square unit
no

Description

12 Acres Plot at Vikindu-Dar es Salaam. Plot iko Vikindu-Dar es salaam, kilomita 4 tu toka vikindu center na pale main road mpaka kuingia kwenye eneo. Plot ina ukubwa wa Heka 12. Eneo lina leseni ya umiliki kwa matumizi ya kuweza kufanya shamba na mpaka sasa ni shamba pamepandwa matikiti lakini pia waweza Fanya liwe eneo la Makazi ukauza kiwanja kimoja kimoja mpaka eneo likaisha. Kwa pamoja na vilivyomo ndani Linauzwa mill 180 maongezi yapo. Kwa maelezo zaidi nipigie au Chart Whatsapp kupitia namba yangu ya tigo Price : Mill 180

Kamwela

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam