Details
Description
Plot iko Bagamoyo kitopeni kushoto kabla hujafika bagamoyo mjini mita 300 tu toka Bagamoyo main road mpaka kuingia kwenye eneo ina upana wa mita 12 eneo ndani lina mabanda mengi ya kufugia Kuku wa kisasa na kienyeji na Nyumba Kali kama inavyoonekana maji yapo plot ina ukubwa wa Heka 12. Eno lina title deed matumizi ya eneo ni viwanda. Kwa pamoja na vilivyomo ndani Linauzwa mill 700 na maongezi yapo. Kwa maelezo zaidi nipigie au Chart Whatsapp kupitia namba yangu ya tigo Price : Mill 700 Note: 12 acres = 48562.277 square metres