Description
Website ni muhimu kwa biashara au kampuni kwa sababu inakukusaidia katika kujitangaza, kwenye website kunakuwa na page mbalimbali zinazoelezea kampuni pamoja na huduma mnazotoa. Pia website inasasidia kuongeza kuaminika kwa sababu kwenye website kunakuwa na page ya ushuhuda(testimonial/positive feedback) wa wateja mliofanya nao kazi, pia ukiwa na website utapata profesional(business) emails address