Details
Description
SIFA ADHIM ZA VIWANJA. ✅3km kutoka barabara kuu ya vikindu ✅Usafiri, bajaji mpaka site (nauli 800) ✅Karibu na barabara kubwa ya mtaa ✅Umeme na maji yapo. ✅Huduma za kijamii zipo. ✅Tambarare kama uwanja wa Mkapa. ✅Kumejengeka tayari. ✅Viwanja ni Skwata ( no plots number) ✅Mitaa imepangiliwa vizuri. ✅Havina udalali mali ya uhakika. ✅Kutembelea site ni siku yoyote ile. ✅Unapata hati ya serikali ya mtaa pamoja na ya mwanasheria. UKUBWA: Futi 50 kwa 40 BEI: 1,600,000 TU Ruksa kulipa kidogo kidogo