Description
Viwanja vya Sqwata vinapatikana manispaa ya Kigamboni JIJINI Dar es salaam katika miji ya Mwembe mdogo karibu na chuo cha Afya Kigamboni na Cheka karibu na Avic Town ukubwa ni 500sqm yaani 20×25 bei ni tsh 4.5ml miundo mbinu ikosawa barabara zipo na zimechongwa umeme na maji yapo kwa maelezo zaidi piga simu namba 0784862313 au what'sApp namba 0784862313 wote mnakaribishwa.