Details
Description
VIWANJA VYA MAKAZI MRADI MPYA WA VIWANJA VYA BEI NAFUU ?Viwanja vipo Chanika -Majumba sita (karibu na anapoishi makamu wa Rais) ?Ukubwa wa kiwanja mita 20 kwa 15(siyo miguu wala futi, ni MITA) ?Viwanja vipo karibu na huduma muhimu za kijamii kama umeme, maji, shule, hospital n.k ?Bei ni Mil 1 na laki 5 tu na unaweza kulipia kwa awamu. ?Call/WhatsApp ☎️☎️0747847888 Karibuni sana! NB; UKILETA MTEJA UNAPATA LAKI 1 CASH