Details
Description
-Viwanja vipo jirani na soko la loliondo - Tumevipima tayari kwa Hati miliki -Malipo yetu ni kwa awamu au kwa mkopo -Kwenda kuona site ni kila siku waziliana nasi -Huduma zaite muhimu zipo site,maji umeme na shule Tuna miradi mingine misugusugu kibaha Vigwaza Kibaha Goba Dar es Salaam Kigamboni mbutu, cheka, mwasonga