Description
Ni kiwanja cha kupima na Sqwata vipo Kigamboni JIJINI Dar katika miji ya Kibada, Avic Town, cheka na Mwembe mdogo ukubwa ni sqm500 kwa Sqwata bei ni tsh 4.5ml na vya kupima bei ni tsh 18elfu kwa sqm 1 na Kibada bei ni tsh 35elfu kwa sqm 1. Simu namba 0784862313 au what'sApp 0784862313