Details
Description
Tunauza viwanja katika mji wa kingolwira kwa kilipa kidogokidogo kwa muda wa miezi 6, viwanja vimepimwa na kusajiliwa na serikali, waweza lipa kwa maramoja ukapata hati miliki yako au kulipa kidogo kidogo, ukimaliza malipo utapatiwa hati miliki yako, wasiliana nasi kwa maelezo zaidi, viwanja vinaanzia milion 3 kamili