Details
Description
Mradi wa viwanja vya beach upo kigamboni geza ulole km 12 kutoka ferry Mradi umepimwa na ni approved Viwanja ipo mita 150 kutoka usawa wa bahari, km 1.5 kutoka barabara kubwa ya lami, Km 1 kutoka manispaa Mchakato wa hati tunakufanyia free kama ofisi Vimebaki vitatu