Details
Description
MRADI MPYA KIGAMBONI - KIMBIJI. -Viwanja vipo Kigamboni - Kimbiji. -Vipo sehemu nzuri sana,pamejengeka na watu wanaishi safi. -Ni mita chache kwenda baharini na mita chache toka barabara kuu. -Umeme,maji,hospitali na shule vipo kwa ukaribu sana. -Bei ni 8000 kwa square meter. -Viwanja ni kuanzia square 400 na kuendelea. -Unaweza lipa Cash ama kwa awamu. ????