Details
Description
Hivi ni Viwanja viwili ambavyo vimepakana. Vipo MSONGOLA KIDOLE/MVUTI. Wastani wa kilomita 1 kutoka Barabara ya LAMI L inayotoka CHAMAZI kwenda CHANIKA. Unachepukia lilipo Bango la Shule ya Awalj ya DAUGHTERS OF MARY TABORA. Ukubwa ni SQM. 512 na SQM. 525. Ukubwa jumla ni SQM. 1,035. Bei kwa vyote viwili ni Tshs.8 Milioni. Ukihitaji kimoja ni Tshs.4 Milioni. Njia nzuri. Wahi ujichagulie. ____ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuina ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI