16.02.2022Tanzania, Dar Es Salaam

VIWANJA VIWANJA

TZS 800 000

Details

Price per square unit
yes

Description

*CDQLINK PROJECTS 2022.* *Tuna miradi ifuatayo...(Viwanja)* 1. VIGWAZA 3KM 2. MIHANDE MLANDIZI 3KM 3. KIBAHA SOFU 4.5 4.KIBAHA MIEMBE 7. 3KM 5. KIGAMBONI AVICK TOWN 200M 6. FUKAYOSI 3.5 7. FUKAYOSI 700M 8. FUKAYOSI 400M 9. FUKAYOSI 2.5KM 10. FUKAYOSI 1.5KM 11. KIGAMBONI CHEKA 300M 12.VIGWAZA 8KM 13. CHAMWINO DODOMA 14KM 14. MWETEMO 3K 15. MBAGALA KONGOWE 800M 16. MAPINGA 900M 17. MAKURUNGE 500M *Mashamba.* 1. FUKAYOSI 10KM 2. VIGWAZA BUYUNI 10KM *1.VIGWAZA* Mradi huu upo Umbali wa 3KM kutoka morogoro road , upo karibu na kuelekea bandari ya nchi kavu viwanja vimepimwa kuanzia SQM 400 na huduma zote za kijamii zinapatikana. Bei ni TZS 2,875/= cash kwa SQM na mkopo ni TZS 3,375/= kwa SQM. BEI KWA SQM 400(20*20) NI TZS 1,150,000/= *2. MIHANDE-VIKURUTI(MLANDIZI)* Mradi huu upo Umbali wa 3KM kutoka Mlandizi mjini. Pia mradi upo karibu na shule ya accacia, Viwanja vimepimwa kuanzia SQM 400 na huduma zote za kijamii zinapatikana Bei ni TZS 4,313/= kwa SQM cash na Mkopo ni TZS 5,063/= kwa SQM BEI KWA SQM 400(20*20) NI 1,725,200/= *3. KIBAHA SOFU* Mradi huu unapatikana 4.5KM Kutoka barabara ya morogoro. Barabara zinafikika kiurahisi na watu wameshaanza kujenga( maji unapatikana 700-800m Kutoka kwenye mradi) na Umeme unapatikana 500m Kutoka eneo la mradi. Bei ni TZS 9,200/= kwa SQM na mkopo ni TZS 10,800/=. BEI YA SQM 400(20*20) NI TZS 3,680,000/= *4.KIBAHA MIEMBE SABA* Mradi huu unapatikana 3Km Kutoka barabara ya morogoro. Huduma zote za kijamii kama maji na Umeme vipo kwenye mradi, barabara zinapatikana kiurahisi na watu wameshaanza ujenzi. Bei ni TZS 11,500/= kwa SQM Na mkopo ni TZS 13,500/= kwa SQM. BEI KWA SQM 400(20*20) NI TZS 4,600,000/= *5.NGOBANYA, KIGAMBONI (AVICK TOWN)* Mradi huu upo umbali wa Mita 200 Kutoka barabara kuu na 33KM Kutoka ferry, Viwanja vimepimwa kuanzia SQM 400 na huduma zote za kijamii zinapatikana. Bei ni TZS 11,500/= Kwa SQM cash na mkopo ni TZS 13,500/= Kwa SQM. BEI YA KWA SQM 400(20*20) NI TZS 4,600,000/= *6.Bagamoyo FUKAYOSI 1* Mradi huu upo Umbali wa 3.5KM Kutoka barabara ya msata, Viwanja vimepimwa kuanzia SQM 400 na huduma zote za kijamii zinapatikana Bei ni TZS 1,150/= cash kwa SQM na mkopo ni TZS 1,350/= kwa SQM . BEI KWA SQM 400(20*20) NI TZS 460,000/= *7. FUKAYOSI 2* Mradi huu upo Mita 700 Kutoka barabara ya msata, Viwanja vimepimwa kuanzia SQM 400 na huduma zote za kijamii zinapatikana. Bei ni TZS 2,875/= cash kwa SQM na mkopo ni TZS 3,375/= kwa SQM. BEI KWA SQM 400(20*20) NI TZS 1,150,000/= *8. FUKAYOSI 3* Huu ni mradi wa CDQLINK GENERAL ENTERPRISES AND INVESTMENT COMPANY, Mradi huu upo mita 400 Kutoka barabara ya msata, Viwanja vimepimwa kuanzia SQM 400 na huduma zote za kijamii zinapatikana. Bei ni TZS 4,313/= cash kwa SQM na mkopo ni TZS 5,063/= kwa SQM BEI KWA SQM 400 NI TZS 1,725,200/= *9. FUKAYOSI 4* Mradi huu upo Umbali wa 2.5KM Kutoka barabara ya msata, viwanja vimepimwa kuanzia SQM 400 na huduma zote za kijamii zinapatikana. Bei ni TZS 1,438/= cash kwa SQM na mkopo ni TZS 1,688/= kwa SQM. BEI KWA SQM 400 NI TZS 575,200/= *10. FUKAYOSI 5* Mradi huu upo Umbali wa 1.5KM Kutoka barabara ya msata, Viwanja vimepimwa kuanzia SQM 400 na huduma zote za kijamii zinapatikana. Bei ni TZS 2,013/= cash kwa SQM na mkopo ni TZS 2,363 BEI KWA SQM 400 NI TZS 805,200/= *11 .KIGAMBONI ( CHEKA)* Mradi huu upo umbali wa 26KM Kutoka ferry na umbal wa 1KM Kutoka barabara kuu, Maji ya DAWASCO yapo Mita 200-300 toka kwenye mradi 33KM Kutoka ferry, Huduma zote za kijamii zinapatikana. Bei ni TZS 11,500/= Kwa SQM cash na mkopo ni TZS 13,500/= Kwa SQM. BEI YA KWA SQM 400(20*20) NI TZS 4,600,000/= *12. VIGWAZA:* 8km kutoka morogoro Road mradi upo kijiji cha *KISOGA* kata ya *VISENZA* wilaya ya *CHALINZE* sqm 400...cash ni sh 1,700/SQM na mkopo ni sh 2000/SQM mteja anatanguliza 40% inayobaki mteja anamaliza kwa awamu ndani ya muda wa miezi 4.. *13. CHAMWINO DODOMA* Eneo lipo Ipala(Chahwa). km 30 toka Mjini, km 14 toka barabara kuu na km 4 kutoka Ukuta wa Ikulu Chamwino. Eneo Lina pakana na taasisi mbalimbali mfano Chuo kikuu Ardhi, Kuna viwanja vya makazi na Biashara pia. Tshs.5,500/SQM *CASH* na *mkopo* sh 6000/SQM. ??kwa Viwanja vya Makazi Na vya Biashara Ni Tshs.6,500/SQM *CASH*, mkopo sh sh 7000/SQM... *14. MWETEMO* Mradi Upo Mwetemo, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa Wa Pwani. 3KM kutoka Msata Road Bei: 200,000Tsh (20 × 20) Or 460,000Tsh *15. Mbagala kongowe* Mradi upo Wilaya Temeke Mkoa wa Dar es salaam 3KM kutoka Mbagala Rangi 3 Mita 800 kutoka barabara kuu Mradi upo mjini kabisa Huduma za kijamii zinapatikana Mf. Maji, Umeme, Shule, Polisi, Mradi upo karibu na shule ya msingi Jengezi *16. MAPINGA* Mradi upo Mkoa wa pwani, Wilaya Bagamoyo, Mapinga Mita 900 kutoka Bagamoyo road. Mradi umepimwa. Mradi upo na huduma za kijamii Mf. Umeme, Maji Plot zipo kuanzia SQM 600,700-1000 Price: 22,000/Sqm cash Loan. 23,000/Sqm *17. MAKURUNGE* Mradi upo Mkoa wa PWANI Wilaya ya BAGAMOYO Mita 500 kutoka Msata Road Land Nature ni Tamabarare Huduma za kijamii zipo Mf. Shule Bei. Cash 2500 per sqm Loan 3000 per SQM Kianzio 40% , kiasi kilichobaki kinamaliziwa taratibu ndani ya miezi 4 *MASHAMBA* *1. Fukayosi* Kilometer 10 kutoka Msata Road. Yanauzwa kuanzia hekari 1 Bei ni 800,000 Malipo ya Awamu ndani ya miezi 6 *2. Vigwaza Buyuni.* Kilometer 10 kutoka barabara kuu. Yanauzwa kuanzia hekari 1 Bei ni 800,000 Malipo ya Awamu ndani ya miezi 6

Fatma Hengo

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam