Description
Ni viwanja vya Sqwata vinapatikana Kigamboni JIJINI Dar es salaam katika miji ya Cheka, Mfuruni karibu na Avic Town, Mwembe mdogo karibu na chuo cha Afya Kigamboni na V/Ukooni bei zetu ni 4.5ml kwa sqm500. Miundo mbinu iko sawa barabara zipo na zimechongwa umeme na maji yapo Kwa Waitaji serious piga simu namba 0784862313 au what'sApp 0784862313.