Description
Viwanja vipo mwanza, wilaya ya nyamagana, kata ya SAWA ya juu, Vimepimwa upimaji shirikishi, vina ukubwa kuanzia square meter 500 mpaka 1000, Bei inaanzia million 2.5 mpaka 5 kulingana na ukubwaTuwasilianeUnaweza lipa kwa instalment tatu ndani ya miezi mitatu, ya kwanza utalipa nusu ya bei ya kiwanja ulichotaka na nusu iliyobaki ndani ya miezi miwili