Details
Description
MRADI MPYA KIGAMBONI KIBADA -Ni Mradi mzuri na wakuvutia sana -Mradi upo km 1 kutoka barabara ya lami -Huduma za kijamii zote zinapatikana kama maji, umeme,shule na hospitali -Neighbourhood yake ni nzuri na ya kuvutia sana -Sqm 1 inauzwa kwa shilingi 55,000 -Malipo ni kwa cash au mkopo -Utapewa hati yako punde tuu baada ya kumaliza malipo # SITE VISIT NI KILA SIKU đ0654644651 KARIBUNI SANA SANA